Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
- Thread starter
- #21
Unaongea kiingereza muda wote mbona umeandika kiswahili?
Kiswahili ulipata ngapi kidato cha nne? Labda tuanzie hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kiingereza muda wote mbona umeandika kiswahili?
Nimeishia la sabaKiswahili ulipata ngapi kidato cha nne? Labda tuanzie hapo.
Ulinusulika kwenye Mv Bukoba?itakua ndiyo sababuHabari jamani? Mimi huwa nashangaa sana. Nikiwa mzima nazungumza kiingereza muda wote. Ila nikinywaa tuu nazungumza kihaya sana ata kwa asiye muhaya. Ila wengine ni tofauti naona. Wakila vitu ni kiingereza mwanzo mwisho. Nini sababu?!?
Nimeishia la saba