Kila nikila tumbo linajaa gesi

Kila nikila tumbo linajaa gesi

bikira mimi

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
24
Reaction score
11
Especially ninapokula vyakula vya jamii ya kunde, mayai na baadhi ya matunda tumbo langu hujaa gesi au kupata kiungulia
 
Huenda ukawa na vidonda vya tumbo.

Jaribu kutumia acid reducers kama Ranitidine 150mg.
 
Bikira wewe, check kama umeongezeka uzito, hii huchangia sana hali hiyo. Kisha tafuta jamaa wa kukutoa hiyo kitu upate on bed mazoezi. Ndio tiba yako. Kama huamini basi nenda kwa mganga wa kienyeji Mzizi Mkavu ukanyweshwe mkojo wako.
 
Bikira wewe, check kama
umeongezeka uzito, hii huchangia sana hali hiyo. Kisha tafuta jamaa wa
kukutoa hiyo kitu upate on bed mazoezi. Ndio tiba yako. Kama huamini
basi nenda kwa mganga wa kienyeji Mzizi Mkavu ukanyweshwe mkojo
wako.

Kuhusu uzito nina uhakika sijaongezeka
 
Jaribu kuviepuka vyakula hivyo kwa muda kwa mfano miezi mitatu kuona kama kuna ahueni yoyote kama itakuwepo basi utajua nini la kufanya ili kuepuka tumbo kujaa gesi, vinginevyo itabidi uwaone Wataalam ili wakuchunguze kwa kina ili kujua tatizo lako. Kila la heri Mkuu.
 
Back
Top Bottom