Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).

Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.

1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.

2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.

3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.

Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.

Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.

Karbu sana na asanten wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mithali : Mlango 6

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Una maana kwamba nia yako ni kulala na wanawake tu: leo huyu; kesho yule; bila kuwa na lengo maalumu? Huu ni uchafu ambao ndiyo unaeneza magonjwa nchini. Hao wanawake uliolala nao wakakung'ang'ania ndiyo wanakueleza kuwa wao walikuwa serious bila shaka baada ya wewe kuwadanganya kuwa ulikuwa serious. Achana na ujinga unaofanya.
 
Mkuu mama yako ameshaacha kuleta wanaume home!?tuanzie hapo usikute hiyo ndio sababu

Sent by Diaspora
 
Mimi nikajua ni kijiji kizima kumbe watu watatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…