msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
Nimecheka sana.. mzee wanaopigaga gemu uwa awajagi huku [emoji23][emoji23] mdogo wangu unefeli hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuuHahahaha Mimi mwaka huu nakuja kujitambulisha kwenu
Mashine nahcHujatuambia unapowalala huwa unawafanyia nini mpaka wakugande au nini cha pekee ulichonacho kinachowavuta kwako
Nakuomba uje ulale na mimi tuone matokeo!!!Mkuu me kinyume chake kila nnae lala nae ananiacha duuh I hope 2019 my story will change ntapata mume mwema
Tatizo bwawaMkuu me kinyume chake kila nnae lala nae ananiacha duuh I hope 2019 my story will change ntapata mume mwema
Kumbe ngoja nianzishe mladi wa kufuga samakiTatizo bwawa
Ishule zifunguliwe tu
Ili kuepuka Hilo lala na mwanaumeWakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,Mimi ni kijana wa miaka 26 kwa sasahivi(2019).
Ninatatizo moja mpaka sashivi kwani kila nikilala na mwanamke(yaani kusex) huwa wanataka niwe nao milele.
1.Mwanamke wa kwanza nililala nae 2013.hapo ndo nilikuwa naanza kuwajua wanawake huyu tulidumu kwa muda wa miaka miwili mpaka nilipotoka sehemu nilikuwa nikishiisha na kuamia pengine kabisa Ila mpka Leo anataka nirudi kwani ataniudumia kila kitu.
2.Mwanamke wa pili uyu alikuwa ni mtu wa mbeya,huyu alinipeleka mpka kwao kunitambulisha kabisa kuwa ni mmewake ampendae mpaka wazazi wake wakawa wananiheshim mpaka basi.ila tuliweza kuachanishwa na mambo ya shule kwani yeye alienda iringa na Mimi dar.ila mpka Leo kwao wanajua ndo nitamuoa lakini Mimi sina hata mpango kabisa.
3.Huyu wa tatu yupo dar mpaka Leo niponae yeye ndo amekufa mzima mzima kabisa kwani huwa ananiletea kila kitu kutoka kwao..ila mama ake na baba yake huwu wanahisi lakini huhakika hawana.
Wakuu hasa wanawake wa jf naombeni ushauri huwa kunakuwa na tatizo gani La kila mwanamke unaelala nae anakung'ang'ania tu hata kama unajaribu kumuonyesha kuwa huna upendo kwake.
Naomba ushauri kwani sasahivi nahitaji kuwa na mchumba kabisa ili miaka ikisogea nisogeze jiko ndani ila sio hawa ninaodate nao sasahivi.zaidi nnaogopa magojwa sana kwani nimeona watu wanne wakifa na ukimwili laiv kwa ajiri ya kuendekeza uchovyaji hovyohovyo.
Karbu sana na asanten wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app