Mapenzi ya Mungu
JF-Expert Member
- Feb 22, 2025
- 317
- 290
Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari
Tatizo ni nini!?
Tatizo ni nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bwana! Wanaume wote wakiwa wajinga naweza kuwa trilioneaTatizo ninujinga wetu wanaume
Nitatoaje pombe lishakua tatizoTatizo ni pombe
Waooh!! Sisterhood is proud of her.Tatizo ni ujinga wetu wanaume.
Mimi nilikuwa nikilewa nasachiwa.
Unakuta hela umezipanga hivi, ukiamka unakuta zimepanguliwa na kuficha mbali naogopa maana konyagi na kvant, kusahau ni sekunde tu.
Simu inachezewa mobile money Hadi pin inafungwa.
Dah.
Siku nyingine naamka kesho yake ananiambia Jana ulileta samaki wakubwa wazuri sijui ulitoa wapi. Watoto wananiambia hujaja na samaki, yeye ndio alinunua alivyoenda sokoni.
Yaani alikuwa ananiconfuse TU na kweli kidogo nichizike.
Waooh!! Sisterhood is proud of her.
Tatizo ni ujinga wetu wanaume.

Naumwa mabega siwezi kulibebaNipe namba yake nimcheki, nakujibu chap
Absolutely mortuary nuts compare dead na live onesWhen she is beaten nearly to death I hope sisterhood will be there for her at hospital
Kucha za olimboka ziwe juu yenuIko siku utashkishwa ukuta
Hunijui wewe, unaongea TU, ubaya ni kuwa Huwa natoaga vipande vipande naeka humu maana kuandika simulizi siwezi.Mpaka analeta samaki home baada ya kukuibia hela na kukudanganya wewe ndo ulileta, ina maana wewe ni bahili kweli kweli unakunywa tu hata mahitaji I home hujali!