Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari

Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari

Waooh!! Sisterhood is proud of her.
Proud of her kwasababu Gani, saizi anajijutia huko anatamani apate hata mwanaume wa kufunga mlango Hana.
Plus sikulilia watoto so ana mzigo wa watoto wanna juu. Japokuwa ada natoa ila chakula ni juu yake.
Uko proud na mtu ameharibu maisha yake au nipaste chat zake humu uone anavyotaka kujiua
 
Aaah wee. Hebu mrudie mwenzako bhana.
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Hunijui wewe, unaongea TU, ubaya ni kuwa Huwa natoaga vipande vipande naeka humu maana kuandika simulizi siwezi.
Mimi wakati nafanya kazi mshahara wote alikuwa anachukua mwanamke. Halafu kwasababu Kuna viposho na visafiri visivyo na kichwa Wala miguu..... Mimi ndio naishi kupitia hiyo.

Asingedanganya kuhusu samaki, kuna Sababu gani mke kukuibia, kuku search na ku tempa na Mpesa Kama unampa ya kutosha
 
Hahaha babuu eehh kama Funguo anakupotezea Kwa makusudi .

Endelea kulewa ili aendelee kuipoteza Funguo na kuingiza kwenye Tigo.

Hongera Kwa kujilia Tigo.
 
Tatizo ni ujinga wetu wanaume.
Mimi nilikuwa nikilewa nasachiwa.
Unakuta hela umezipanga hivi, ukiamka unakuta zimepanguliwa na kuficha mbali naogopa maana konyagi na kvant, kusahau ni sekunde tu.
Simu inachezewa mobile money Hadi pin inafungwa.
Dah.
Siku nyingine naamka kesho yake ananiambia Jana ulileta samaki wakubwa wazuri sijui ulitoa wapi. Watoto wananiambia hujaja na samaki, yeye ndio alinunua alivyoenda sokoni.
Siku nyingine unaamka magoti yanauma kishenzi na viwiko vya mikono. Kumbe watoto wanakuambia anachukua panga, anageuza kule hamna makali anakugonga gonga. Hapo Kvant bapa mbilinna safari kama saba ziko kichwani hujitambui..... Pombe hizi
Yaani alikuwa ananiconfuse TU na kweli kidogo nichizike.
😂
 
Okay, Try putting your hand on her, and you will get to know us.
I will never lay my hands on any woman unless I’m pressing her bre@t

We are not in Europe wake up sis men get away with gbv here in Tz . We don't take serious Gender violence crimes especially from married couples
 
Haven’t you read how others in this forum were jailed for physically abusing their wives?
 
Back
Top Bottom