KILA NIKIMALIZA KULA NAPATA KIKOHOZI.

KILA NIKIMALIZA KULA NAPATA KIKOHOZI.

Pelly

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
197
Reaction score
207
Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie.
Asanteni
 
Hata mie Niko hivo.miaka mingi sasa.nimeizoea. hasa Kwa Milo mirefu
Nkila nkimaliza baada ya mda najikuta nakohoa na vile vitu vinatoka kama Kwa mtu mwenye kikohozi.nimeizoea but sifanyi mbele ya watu nasogea huko ama chooni maana kina sauti.mtu atasema unabanja
 
Back
Top Bottom