Kila nikimaliza nasikia muwasho wa utamu kwenye uume

Kila nikimaliza nasikia muwasho wa utamu kwenye uume

Yawezekana hizo zinazowasha ni sperm je huwa unahakikisha unamaliza aja zako
 
Hilo ni gono kama una Damu kali inaweza chukua hata miez miwili kuja kutahamaki ushaathirika vibaya sana
 
Kwa mtu mwenye msukumo mkubwa wa ngono ni kawaida tu.
 
Mzee ugonjwa unaitwa pangusa ukija kustuka vitu vimeisha mzee....Weee furahia kwa kuhisi muwasho wa utamu tuu ohooooo!!!!!
 
Sikiliza na hili atakuambia Dr yeyote wa Urology. Utam huo utakufanya saa nyingine ufanye ka kukamua kamua vile. Unavyofanya hivyo, kule ndani kumetokea vijipele ambavyo vikianza kupona vtafanya kitu ka vinundu vile vya kondom. Baada ya muda, vitakua na kuziba kojo lako au ukikojoa utakuwa mkojo ukipita kwa shida na maumivu makuubwa kuliko huo utam unaousikia leo.
Njoo uwekewe mpira mapeeema kabla hujaziba.
 
Back
Top Bottom