Kila nikimbusu mpenzi wangu anatema mate chini

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau

Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni

Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone

Nifanyeje?
 
Afya yako ya kinywa ni salama? Unanuka mdomo? Kama unahisi huenda harufu ya kinywa inanuka basi fanya usafi.

Lakini pia, kuna watu kiasili wameumbwa na kinyaa. Hata mate yake hataki kabisa kumeza, na akiwa anayatema hataki hata kuyaona. Ni kinyaa kilichopitiliza. Inabidi tu umuelewe. Sembuse mate yake hayapendi, iwe yako? Kwanza kakuheshimu sana. Kuna wengine hataki hata umsogezee mdomo.

Siyo lazima denda, mabusu yanatosha. As long as unamuona yupo 'real', huna haja ya kukasirika.
 
Ukimkiss hakikisha unamfunga bandage lidomo lake, utakuja kunishukuru.
 
Vipi mdomo wako unasmell good lkn? Isijekua ni kama panya kafa afu unataka dada wa watu ameze mimate yako mkuu
Nilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
 
Jitahidi uwe unatembea na mswaki kabla huja mkiss uswaki kwanza uchunguzi unaonyesha ndio sababu hadi mate yanamjaa mdomoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu Anakinyaa ..asikupe shida.



Kama kashindwa kubadilika, basi badilika kwa ajili yake !!!!


Denda ni uzungu ,usikute unavuta sigara, pombe, tumbaku, bangi ,meno ya njanoo kama za jezi za wananchi.
Mjomba situmii kilevi chochote bangi sigara no na kils 6 mounth laxima nikasafishe meno kitaalamu hata upige mswak vp kuna uchafu hubak kwenye kinywa na aps nipo nshangaika nitafute pafyumu za mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…