Kila nikimkumbuka naumia roho!

Kila nikimkumbuka naumia roho!

Kijana pole lakini huyo si kuwa hakuuamini lakini nafasi imeshajazwa ningekushauri ujaribu tena kwani inaonyesha una bahati kweli, kumfuma humu JF na akakutowa jasho,hii kweli ni ngekewa!!!!!!!!!!!!
 
gfsonwin kishapata mchumba mwingine jamvini. Hataki kulichakachua penzi jipya.



mkuu pole sana sana.

Jamani kama huyu kaka anasema ukweli wee mdada wa jf hebu mrudie mwenzio lol! hivi unaijua thamani ya kupendwa? angalia usije acha mbachao kwa msala upitao. wala usikimbilie kulia ukakuta kushoto kumebomoka funguka kama unaona humtak tena mweleze achukue time yake lol!

hebu ni pm id.
 
Last edited by a moderator:
Inaonesha ulimaanisha kila jambo ktk uhusiano wenu, mwenzio je? Wiki 2 tu amechukua maamuzi magumu hivo, afu bado wamtafuta! Wanini? Achana naye huyo tafuta mwengine ndugu.
 
acha uzoba, huyo hakupendi. tafuta tena mwingine.
 
Pole sana sangari,km mungu hajapanga husilazimishe inawezekana yupo uliyeandaliwa.Inabidi uwe na subira.
 
Asante Caroline. Sijui nifanyaje nipate mchumba mwingine, kama yeye ameamua hivyo basi sina jinsi ya kufanya.

Jipe muda kwanza kabla hujaingia kwenye hiyo industry ya stress. Inawezekana kwenye huo muda wa mapumziko akatokea mkaendelea, ikishindikana unaanzisha safari nyingine. Jipe kama miezi 3.
 
ni mimi hapa, mtoa mada nimebadili id cku hz natumia hii. (jokes)
back to topic, c kwamba namponda mdada ila ni katika kukupa some advice. yan anashindwaje kukuamini katka situation ngumu kama hyo? hakika hatakuamini katika mambo mengi. itakuwa wakat upo rumande alimpata mwingne kama alivokupata wewe. tafakari sana kabla ya kumrudisha make keshaonesha udhaifu. kuna watu wanafanya kazi nje ya nchi na hukaa km 3mnths mbali na wake zao /wapenz lakn wanavumiliwa sembuse 2wks tena kwa matatizo!
 
Sangari, pamoja na msahibu yote, huu si mwisho wa maisha. Maisha lazima yaendelee. Wakati ni vizuri kuwa na matumaini kwamba mabo yaweza kugeuka uzuri, ni busara pia kujua inaweza ikawa ndo imetoka. Usifikirie kupata replacement haraka haraka, Take time.
Asante Caroline. Sijui nifanyaje nipate mchumba mwingine, kama yeye ameamua hivyo basi sina jinsi ya kufanya.
 
ama kweli mganga hajigangi... watu wanakimbilia JF kuomba ushauri wa kimahusiano wakati JF kwenyewe ndiyo uwanja wa kuchakachuana na kupigana vibuti..... .kazi kweli kweli

shangaa sasa cartura...ila hii inareinforce the idea kwaba sawa JF its a virtual community ila ni binadamu na matendo yao ni ya kibinadamu, na zaidi sana wanatoka kwen the same community ambayo imejaa ubatili tu
 
Last edited by a moderator:
Sangari, pamoja na msahibu yote, huu si mwisho wa maisha. Maisha lazima yaendelee. Wakati ni vizuri kuwa na matumaini kwamba mabo yaweza kugeuka uzuri, ni busara pia kujua inaweza ikawa ndo imetoka. Usifikirie kupata replacement haraka haraka, Take time.

Maneno yako ya busara sana japo sasa ID yako ni hovyohovyo.....lol
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkaka.
I can understand Machale ya Mdada. Mahusiano ya kukutana mtandaoni, inahitaji nguvu ya ziada kuaminiana. Bila communication na kujuana mnapoishi unattgemea atakuaminije? Ukute alishatendwa before, so akigusa unyasi tu anastuka.

Vuta subira, baada ya uzi huu anaweza jitokeza.
Bidada, unless una sababu nyingine; hear the cry of ur love; rudisha moyo na muamini mwenzio.

Wish both of u the best of luck!
 
siku hizi mambo ya mahusiano huwa hayaelewki so akaamua ajiondoshe mapema ila kama umempigia na kumueleza hali halisi alipaswa akuelewe, pole kwa yaliyokupata ila kama ni wa kwako utajua tu its just a matter of time ila kama cyo wa kwako basi wa kwako atakuja tu kama cyo leo basi kesho.
 
JF inaweza kuwa inasaidia kuongeza mtandao wa wapenzi wenye wapenzi walio na wapenzi wenye wapenzi. Amekusaidia kuvunja mtandao huyo na inaonekana haikuwa mpango wa Mungu.
 
Back
Top Bottom