mkuu pole sana sana.
Jamani kama huyu kaka anasema ukweli wee mdada wa jf hebu mrudie mwenzio lol! hivi unaijua thamani ya kupendwa? angalia usije acha mbachao kwa msala upitao. wala usikimbilie kulia ukakuta kushoto kumebomoka funguka kama unaona humtak tena mweleze achukue time yake lol!
hebu ni pm id.
Asante HovyohovyoDuh!! Tunakuombea tu huyo jamaa aelewe. Ushauri wangu jamaa afanye utafiti ajiridhishe na hiyo habari yenyewe. Mapenzi huuma kama ugonjwa. Pole sana
Nashukuru kwa ushauri. Ila nimeamini kupenda kubaya.Pole sana sangari,km mungu hajapanga husilazimishe inawezekana yupo uliyeandaliwa.Inabidi uwe na subira.
Asante Caroline. Sijui nifanyaje nipate mchumba mwingine, kama yeye ameamua hivyo basi sina jinsi ya kufanya.Mpendwa, pole sana. Jipe moyo
Asante Caroline. Sijui nifanyaje nipate mchumba mwingine, kama yeye ameamua hivyo basi sina jinsi ya kufanya.
Asante Caroline. Sijui nifanyaje nipate mchumba mwingine, kama yeye ameamua hivyo basi sina jinsi ya kufanya.
ama kweli mganga hajigangi... watu wanakimbilia JF kuomba ushauri wa kimahusiano wakati JF kwenyewe ndiyo uwanja wa kuchakachuana na kupigana vibuti..... .kazi kweli kweli
Sangari, pamoja na msahibu yote, huu si mwisho wa maisha. Maisha lazima yaendelee. Wakati ni vizuri kuwa na matumaini kwamba mabo yaweza kugeuka uzuri, ni busara pia kujua inaweza ikawa ndo imetoka. Usifikirie kupata replacement haraka haraka, Take time.