Kila nikimkumbuka naumia roho!

kumbe watu wanachukua magoma hapa hapa JF?!! ........
 

We ulitakaje mfano? Imagine you meet somebody online in December and in January you are already preparing to meet her parents. If you can make it this fast, it is only normal to be able to break it with the same speed...
BTT: kama yuko JF basi ujumbe wako kaupata. Asipojitokeza maana yake hakua wako, endelea kutafuta.
 
JF inapogeuka mshenga, haya ni mambo ya kawaida. usikate tamaa! Kwani kama hujabadili ID, basi atakuwa amesoma ujumbe wako na ataufanyia kazi.
 
Pole sana ndugu yangu kama umemweleza ukweli ameshindwa kukuamini bas hana mapenzi ya dhati huyo jiweke pembeni mwombe Mungu utampa mwingine wanawake wapo wengi but kumpa mwenye mapenzi ya dhati ndo balaa.
 
embu mtaje kabisa kwa sauti inawezekana yupo kwa jirani yetu jukwaa la siasa huwezi jua.! I mean mnominate kabisi in her real name ili akion hii uzi ajijue ni yey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…