Kila nikimkumbuka Zitto Kabwe nacheka sana. Aibu naona mimi

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.

Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.

Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
 
Mcheke kwa kuamini kwamba na yeye angepata mgao wa ubunge.

There was no election!
 
Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.

Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.

Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Hàpakuwa na uchaguzi wa huru na haki! Hivyo no true statement can he said about Zito loosing the election!
 
Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.

Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.

Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Huyo tapeli wa kisiasa raia washamshitukia.

Hata angeshindanishwa na andazi, raia wangelichagua andazi.

Aachane na siasa akatafute kazi nyingine za kufanya.
 
Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.

Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.

Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
that's political dynamics unless you are not aware over it 🐒
 
Hao ndiyo kina ...MUSLIM BROTHER SHIT... kina adriz
 
Pamoja na kwamba Zito ni snitch, hiyo 2025 lilikuwa na uchaguzi gani?
 
Back
Top Bottom