Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mcheke kwa kuamini kwamba na yeye angepata mgao wa ubunge.Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.
Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Hàpakuwa na uchaguzi wa huru na haki! Hivyo no true statement can he said about Zito loosing the election!Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.
Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Mcheke kwa kuamini kwamba na yeye angepata mgao wa ubunge.
There was no election!
Ila Zitto alishauriwa asishiriki akadai muhuni hasusiwiNa wewe unaamini October 29 kulikuwa na uchaguzi basi huna akili??
Huyo tapeli wa kisiasa raia washamshitukia.Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.
Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Zito ni malaya wa kisiasaIla Zitto alishauriwa asishiriki akadai muhuni hasusiwi
that's political dynamics unless you are not aware over it 🐒Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.
Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Hao ndiyo kina ...MUSLIM BROTHER SHIT... kina adrizNacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.
Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Pamoja na kwamba Zito ni snitch, hiyo 2025 lilikuwa na uchaguzi gani?Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano wa kata hapati watu zaidi ya 50. Labda aombe wasombwe kupelekwa.
Zitto Kabwela. Anatamani kuhamia moja kwa moja CCM. yaani awe CCM sebuleni anashindwa. Maana nao wanamwona kwa sasa hana mvuto. Anatakiwa angalau agombee Uenyekiti wa kijiji. Najiuliza kigoma kwenye ngome yake aligaragazwa kama tambala la deki la chooni. Je angejaribu Dar? Mbwa koko kabisa.
Pamoja na kwamba Zito ni snitch, hiyo 2025 lilikuwa na uchaguzi gani?