Kila nikimtumia meseji nzuri anaifowadi kwa bwana mwingine!

Pole, don't settle for less hata siku moja.
 
Ni kheri kumjua mapema mungu hapangiwa kabla ya kupeleka posa alikuonesha kuwa mwanamke anatabia hizi kama utamkerebisha sawa na kama utachananae sawa ila mungu kesha kuonesha kabla hujamuoa kwaio mungu hakosei anacho kifanya
 
Asante anko Dau, huwa sina ratiba ya kurudia makapi wakati bucha kila siku zinafunguliwa mpya!!

Ila anko sio poa bana, demu anakutumia text zng we unachekeleeea!!
Kwahiyo umenipa go ahead uncle? Zile message zilikuwa ukitumiwa ni lazima utacheka tu Samahani kwa hilo
 
Bro mwenzako nampa ela wewe una mpa kwani? Uki muacha wewe namuoa mimi
 
Mapenzii ya siku hizi ruksa kushikana ila siyo kushikiana simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Mwenyekiti wa CHAPUTA.. Nakukaribisha tena.. Uongozi ni ule ule.
 
uzuri wa chama la ubachela hata ukihama bila kuaga siku ukirudi tunakupokea bila shida.
Pole man
 
Ni kheri kumjua mapema mungu hapangiwa kabla ya kupeleka posa alikuonesha kuwa mwanamke anatabia hizi kama utamkerebisha sawa na kama utachananae sawa ila mungu kesha kuonesha kabla hujamuoa kwaio mungu hakosei anacho kifanya
Yes, hapa ni kutoka nduki tuuu
 
uzuri wa chama la ubachela hata ukihama bila kuaga siku ukirudi tunakupokea bila shida.
Pole man
Ni home, so kurudi home si utumwa. Nachukua mkataba mrefu kabisaaa. Sitaki mistress mie!
 
Ila na wewe hadi kufikia kutapa kupeleka posa ulikuwa hujamchunguza.. halafu simu huaribu mahusiano ya watu usizoee kuchunguza simu ya mwenzako ndo maana yaitwa simu ya kiganjani...hakuna kushare kiganja na mwimgine.. ndoa nyingi huvunjika kisa simu......
 
tatizo lako mkuu ni umbea ndio maana yamekukuta hayo anyway karibu chamani katibu wa chaputa taifa nipo
 
Ha ha haaa. Nilikuwa sifanyagi huu ujinga. Ila ndo ivo, nimebip bomu, limeripuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…