Kila nikimtumia meseji nzuri anaifowadi kwa bwana mwingine!

Mapenzi ya siku hizi nyakati za simu yanaumiza kweli.
Ukiona mpenzi wako kakutumia meseji nzuri ya mapenzi tofauti na mwandiko wake unaoujua, jiongeze, siyo kila kitu uambiwe.
 
Mapenzi ya siku hizi nyakati za simu yanaumiza kweli.
Ukiona mpenzi wako kakutumia meseji nzuri ya mapenzi tofauti na mwandiko wake unaoujua, jiongeze, siyo kila kitu uambiwe.
Ha ha haaa! Tatizo ukiwa too paranoid unaishia kuishi ka askari wa idara ya upelelezi, mengine unapotezea. Yakikuzidu uzani, unajiweka pembeni maisha yanaendelea!
 
Mkuu umefanya maamuzi kwa kukurupuka sana!

Ningenunua vumbi la kongo nimkule kotekote huku namtamkia maneno yenye mahaba yaliyotukuka na ahadi tele za hari majina ya watoto n.k

Ningemuacha aende kwa amani na ningemtumia tena sms nzuri ya kimapenzi na ningeweka jina la Mjomba Dau mwishoni.

Mpuuzi sana huyo mwanamke wako.
 
Hivi huwa mnatumia njia gani kuwapata wasichana wa aina hii ? Maana kila siku naona mnalialia tu wadau.

Inabidi mjitathmini upya,lazima kuna sehemu mtakua mnakosea sana.

Ole wenu msipojirekebisha.
 
Nasema bora amejua mapema kuliko angemuoa ndio ajue kuwa kuna mwanaume mwingine.
Co swala la kutokushika simu , uaminifu ni kitu cha gharama sana yaani. Lazima kuwe nanuaminifu kati yenu.
Kushika simu ya mwenzio si dhambi. Si dhambi kabisaa..
 
ndio umbea kupekua cm za watu ulichokitaka umekipata
Kupekua simu si umbea. Mm huwa nampaga wangu amakaa nayo hata siku nzima wala sina tatizo.
Ishu ni kwamba uaminifu, kwann mfichane fichane vitu, mnafichana had simu kweli?

Labda mtakuwa si waaminifu ndio maana.
 
Ilo bomu mkuu, bora umeshtuka mapema! Karibu kambini tuendeleze libeneke[emoji16]
 
Ilitakiwa akishaforward asisahau kufuta msg, picha, video na audio kufuta ushahidi. Yote yasingetokea kama angekuwa an click delete button
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…