Hata hiyo bucha mpya kuna wateja watakuja wengine huwezi kuwa mnunuzi wa nyama peke yakoAsante anko Dau, huwa sina ratiba ya kurudia makapi wakati bucha kila siku zinafunguliwa mpya!!
Ila anko sio poa bana, demu anakutumia text zng we unachekeleeea!!
Mkuu cjamuacha kizembe zembe! Atakuwa anapulizwa na feni hukoMkuu umefanya maamuzi kwa kukurupuka sana!
Ningenunua vumbi la kongo nimkule kotekote huku namtamkia maneno yenye mahaba yaliyotukuka na ahadi tele za hari majina ya watoto n.k
Ningemuacha aende kwa amani na ningemtumia tena sms nzuri ya kimapenzi na ningeweka jina la Mjomba Dau mwishoni.
Mpuuzi sana huyo mwanamke wako.
mjoo nikunong'oneze 😀😀😀😀Kumbe na wewe ni mwanachama wa chama hiki?[emoji848]
Afu siku hizi whatsapp ukifoward text inaandika kabisa ni forwarded.
Safi huu ndio uamuzi wa kiume kuna maboya watakuja kukwambia mchumba achunguzwi...achana nao chief simama kwenye msimamo wako ...tena zaid piga kimya ...!! ....na potezea kabisa ..!! Act like a man not boy ...ni hayo chiefWakubwa habari!
Jana nimeamua rasmi kuchungulia simu ya mchumba wangu. Aisee kuna jamaa kaseviwa Mjomba Dau, meseji zangu zote za mahaba nzuri nzuri nilizokuwa ninamtumia anazifowadi kwa huyo anko. Nimeingia wasapu asee dedication nyingi nazo kafowadi. Jana nilimtumia Everyday I love you ya Boys to men, nayo kaifowadi. Anko anajibu mahaba nipasue asee!
Basi moyo uliwaka moto, nikaangalia tigo pesa, kumbe jina lake ni Ramadhan Mz*****
Sasa leo nimemuuliza kagoma sana. Tumetifuana hasa kwa pic alizokuwa anamtumia, hata mimi hajawahi kunitumia.
Nimeahirisha rasmi kupeleka mahali, natangaza rasmi naurudia ubachela. Yaani kumpenda kote kule kumbe kuna jamaa linampikia mpaka ugali???
Kweli usilolijua ni kama sanduku la mganga!!!
Angeyajuaje yote ...?? ...kama unajijua mchumba wa MTU means umeshajiridhia kuwa naye.. So kinachotakiwa ...kuwa mtulivu ..na kufuta mafile zote chafu....!!Ila na wewe hadi kufikia kutapa kupeleka posa ulikuwa hujamchunguza.. halafu simu huaribu mahusiano ya watu usizoee kuchunguza simu ya mwenzako ndo maana yaitwa simu ya kiganjani...hakuna kushare kiganja na mwimgine.. ndoa nyingi huvunjika kisa simu......
hahaaaMbona alikugeuza msukule wake kiasi ambacho nami nakuona kama huna akili sawa sawa...!?
heheee ....eti amekosea mashartiRudi Chaputa mkuu, ulikosea masharti
Asante sana. Now nipo strong kbs. Nakula ugali mkubwa na unapita bila shidaSafi huu ndio uamuzi wa kiume kuna maboya watakuja kukwambia mchumba achunguzwi...achana nao chief simama kwenye msimamo wako ...tena zaid piga kimya ...!! ....na potezea kabisa ..!! Act like a man not boy ...ni hayo chief
haha wewe jamaa!.. eti Ramadhani mzigua... DaahMjomba Dau nipo hapa a.k.a Ramadhan Mzigua,mkuu sikujua kama ulipanga kumuoa samahani sana.Na mimi nitamuacha mkuu uje umchukue mkeo mtarajiwa