Kila nikimtumia meseji nzuri anaifowadi kwa bwana mwingine!

Kila nikimtumia meseji nzuri anaifowadi kwa bwana mwingine!

Asante anko Dau, huwa sina ratiba ya kurudia makapi wakati bucha kila siku zinafunguliwa mpya!!

Ila anko sio poa bana, demu anakutumia text zng we unachekeleeea!!
Hata hiyo bucha mpya kuna wateja watakuja wengine huwezi kuwa mnunuzi wa nyama peke yako
 
Hivi huwa mnatumia njia gani kuwapata wasichana wa aina hii ? Maana kila siku naona mnalialia tu wadau.

Inabidi mjitathmini upya,lazima kuna sehemu mtakua mnakosea sana.

Ole wenu msipojirekebisha.
Duh! Hebu nipe mbinu mpya
 
Mkuu umefanya maamuzi kwa kukurupuka sana!

Ningenunua vumbi la kongo nimkule kotekote huku namtamkia maneno yenye mahaba yaliyotukuka na ahadi tele za hari majina ya watoto n.k

Ningemuacha aende kwa amani na ningemtumia tena sms nzuri ya kimapenzi na ningeweka jina la Mjomba Dau mwishoni.

Mpuuzi sana huyo mwanamke wako.
Mkuu cjamuacha kizembe zembe! Atakuwa anapulizwa na feni huko
 
Pole man....mapenzi ni hisia nzito ukiforce sana utaumia tu.....be strong create the future....Nimekumbuka mbali mno but all in all life must go on
 
Wakubwa habari!
Jana nimeamua rasmi kuchungulia simu ya mchumba wangu. Aisee kuna jamaa kaseviwa Mjomba Dau, meseji zangu zote za mahaba nzuri nzuri nilizokuwa ninamtumia anazifowadi kwa huyo anko. Nimeingia wasapu asee dedication nyingi nazo kafowadi. Jana nilimtumia Everyday I love you ya Boys to men, nayo kaifowadi. Anko anajibu mahaba nipasue asee!

Basi moyo uliwaka moto, nikaangalia tigo pesa, kumbe jina lake ni Ramadhan Mz*****

Sasa leo nimemuuliza kagoma sana. Tumetifuana hasa kwa pic alizokuwa anamtumia, hata mimi hajawahi kunitumia.

Nimeahirisha rasmi kupeleka mahali, natangaza rasmi naurudia ubachela. Yaani kumpenda kote kule kumbe kuna jamaa linampikia mpaka ugali???

Kweli usilolijua ni kama sanduku la mganga!!!
Safi huu ndio uamuzi wa kiume kuna maboya watakuja kukwambia mchumba achunguzwi...achana nao chief simama kwenye msimamo wako ...tena zaid piga kimya ...!! ....na potezea kabisa ..!! Act like a man not boy ...ni hayo chief
 
Ila na wewe hadi kufikia kutapa kupeleka posa ulikuwa hujamchunguza.. halafu simu huaribu mahusiano ya watu usizoee kuchunguza simu ya mwenzako ndo maana yaitwa simu ya kiganjani...hakuna kushare kiganja na mwimgine.. ndoa nyingi huvunjika kisa simu......
Angeyajuaje yote ...?? ...kama unajijua mchumba wa MTU means umeshajiridhia kuwa naye.. So kinachotakiwa ...kuwa mtulivu ..na kufuta mafile zote chafu....!!
 
Hii tabia ni kero. Yupo Binti nilisha wahi kutoka nae huko nyuma, sasa siku karibuni alinitumia text ya [emoji173] kuiangalia vizuri naona ni forwarded kutoka kwingine, sikujibu chochote.
 
Pole man....mapenzi ni hisia nzito ukiforce sana utaumia tu.....be strong create the future....Nimekumbuka mbali mno but all in all life must go on
Yeah, ktk mapenzi time ni best healer
 
Safi huu ndio uamuzi wa kiume kuna maboya watakuja kukwambia mchumba achunguzwi...achana nao chief simama kwenye msimamo wako ...tena zaid piga kimya ...!! ....na potezea kabisa ..!! Act like a man not boy ...ni hayo chief
Asante sana. Now nipo strong kbs. Nakula ugali mkubwa na unapita bila shida
 
Hii tabia ni kero. Yupo Binti nilisha wahi kutoka nae huko nyuma, sasa siku karibuni alinitumia text ya [emoji173] kuiangalia vizuri naona ni forwarded kutoka kwingine, sikujibu chochote.
Ha ha haaaa, yale yale. Wanaboa
 
Back
Top Bottom