Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Wakubwa habari!
Jana nimeamua rasmi kuchungulia simu ya mchumba wangu. Aisee kuna jamaa kaseviwa Mjomba Dau, meseji zangu zote za mahaba nzuri nzuri nilizokuwa ninamtumia anazifowadi kwa huyo anko. Nimeingia wasapu asee dedication nyingi nazo kafowadi. Jana nilimtumia Everyday I love you ya Boys to men, nayo kaifowadi. Anko anajibu mahaba nipasue asee!
Basi moyo uliwaka moto, nikaangalia tigo pesa, kumbe jina lake ni Ramadhan Mz*****
Sasa leo nimemuuliza kagoma sana. Tumetifuana hasa kwa pic alizokuwa anamtumia, hata mimi hajawahi kunitumia.
Nimeahirisha rasmi kupeleka mahali, natangaza rasmi naurudia ubachela. Yaani kumpenda kote kule kumbe kuna jamaa linampikia mpaka ugali???
Kweli usilolijua ni kama sanduku la mganga!!!