Kila nikimuangalia Charity Ngilu huwa ananivutia sana msema kweli mpenzi wa Mungu

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Ndugu zangu wana Afrika ya Mashariki amani iwe kwenu

Mimi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye kampeni nikiwa Mombasa kiroho kikanidunda nikawa nafuatilia hotuba zake hata alipokuwa Waziri nilikuwa kila nikiyaangalia yale macho basi nyoka lazima atamani

Mpaka leo hii bado ninavutiwa nae najua lazima atakuwa na Bwana na watoto ila ndio dunia hiyo

Nimejaribu kudate Wakamba kadhaa lakini hakuna aliyemfikia Charity Ngilu

Ningependa angalau siku moja japo hata tusalimiane tu ili niushike mkono wake halafu hata nikifa kesho yake sawa tu.

Hayo ndio macho ya Mahaba hakuna cha kula Kungu wala kupakaa wanja sijui shade ni kitu Natural Mimi hata kama nimezulumiwa Nyumba akinitokea nitapoa kama Barafu.
I love you my Sister.
 
Weka picha yake mbona unaweka ya baba yake
 
Lol πŸ˜‚ una miaka mingapi imhotep?
 

Mtoto Sabina Chegge lazima nimfate Nairobi nipige!

Lazima apigwe tu hamna namna!

 
mkuu, vipi kwenye eneo la usafiri ume check lakini?

maana mamanzi wa KE.....
 
Beauty with Brains kwa mwanaume aliyebahatika kumpata Charity ana Bahati ya Mtende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…