Kila nikimuangalia Charity Ngilu huwa ananivutia sana msema kweli mpenzi wa Mungu

Sijui watoto wake wa Kike kama anao vitakuwa ni visu kwelikweli.
Ila kama kama ni Single mother mimi niko tayati tumalize nae kilometa zilizobakia
Ni single maza Sema ukimpata nipe connection ya namba ya mtoto wake mmoja wa kike kwa Jina Kate aka Katethia Mwende kuna baharia mmoja chotara alimla utotoni iliniuma sana.
 
Ni single maza Sema ukimpata nipe connection ya namba ya mtoto wake mmoja wa kike kwa Jina Kate aka Katethia Mwende kuna baharia mmoja chotara alimla utotoni iliniuma sana.
Mkuu siku nikitia timu SunCity nitafanya upelelezi wangu halafu nitakuPM
 
View attachment 1202788
Na hapo Amemaliza makopo mawili ya Makeup na Studio lights zote zimewashwa na Camera flash juu
Na bado hajazeeka akizeeka balozi wa nyumba kumi anaweza kumuamuru ahame mtaa kwani watoto watakua wanaota usiku.

Japo huwa sikubaliani na mtazamo wako ila hapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.

Makopo mawili ya make up, flash juu 😂😂😂
 
Uzuri wa Ngilu huwa haFake kwa Makeup what yo see is what you get kudaadeki
 
Sasa charity ni Bibi amezeeka wewe unapenda watu wazee? Lakini yupo single mumewe aliaga kitambo Sana rusha mistari huenda akavutiwa na maneno yako. Jishindie huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…