Nimeishi kwa stress miezi sita!
Nilipita na kitoto flani hivi halafu kikaja kuniacha ghafla tu
Nikashituka!
Katika kukafuatilia, nikagundua kana msululu wa wanyabi!
Kila mtu anapiga, maaanina
Nimekaa kama wiki mbili hivi, mwili ukaanza kuwasha, mchoko wa ajabu ajabu, tumbo kuuma!(kumbe corona)
Hii!
Nikagugo hizo dalili, zikanipeleka moja kwa moja kwenye acute stage za HIV!
Nikataka kuzirai, nikajikaza ndani ya hizo hizo wiki mbili nikaenda kupima, jibu negative....
Doooh, nikapumua kidogo!
sasa nilivyo fala, nikagugo tena---eti kipimo cha HIV(sd bioline) kina detect virus baada ya mda gani?
Duh! nikajibiwa kuanzia siku 28 huko, hahaha presha ikarudi tena
nikakaa kama miezi minne hivi, nikaja kupima tena, majibu yakatoka fresh, sasa kuangalia vizuri kile kipimo nakuta kime expire, daah nikasema poa tu
Kuja kuuliza wataalamu wakanambia hua hakiko accurate, nikatamani kulia
Juzi nimepima tena, hii ni baada ya miezi sita sasa, angalau haya majibu yamenipa moyo...
Mungu mkubwa asee...