KanyeWest_Tz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2026
- 237
- 542
Nimejikuta na kutana na clip ya jembe maghufuli mtandaoni.
Na Hakika alikuwa ni mtu wa kipekee sana. It was once in a lifetime.
Watanzania sisi hakika tumerogwa.. Na huu ndo ukweli Mchungu. Yaani kipindi kile waliokuwa wanamuunga mkono magu walikuwa watu hali ya chini. Maana alifanya juhudi kodi zao, zisitumike vibaya....
Sasa leo Tunataka ukombozi kwa akili gani tuliyonayo? Kama jembe tu hakuungwa mkono unafikiri huyo Heche na Lissu watakubalika?
Hebu tuache kujidanganya.. mmatumbi hana akili hiyo. Lazima tulalie kitanda tulicho kwisha kukitandika..
Na nawaambia itafikia kipindi hii nchi watu watakuwa wakimbizi kukimbilia nchi jirani... Subirini tu vikwazo vishike hatamu.
Rest easy Magu yuo were a walking Saint.