tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
thread nyingine nazo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he he he he,
uzuri yenyewe haina upande.
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaoa Mashoto?
haihusian na chochote,mbona unabahat, mi nawatafuta hao hata sijafanikiwa kuwapata had sahz nshakua na miaka 89
Hivi kwanini hamuwezi kujibu ama kutoa mchango wa mawazo kwanza kabla ya ku JUDGE watu??!!!Sio vizuri!We kicheche! wote hao!
Big Up
Nimesoma na watu wanaotumia kushoto ni VIPANGA darasani
Inaelekea kaka unajua kuchagua
Hongera sana
Hakuna ubaya wowote kuoa mwanamke mwenye kutumia kushoto, mbona wife wangu anatumia shoto kwa kufanya kazi zake