Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Kama kawaida yako 😁Mapenzi ni life force mkuu sisi wahindu tunaita Prana, uwezo wa juu wa binadamu umejificha kwenye mapenzi
Yaan nicomment nyingi nmesoma hakuna hata kimoja ambacho nakosea wala sina shida ya kinywa hata hzo show sio mbovu......issue nikesema tu huyu sasa ndo mke nitulie nae nitoe hata mahali ghafla bin vuu linatokea lisababu from no where mnaachanaKaka fanya uchunguzi wa kina na uwe mkweli wa nafsi yako huenda ikawa una harufu mbaya ya kinywa au jasho kali watoto wa kike hawapend
Naotaga mara mojamojaHuoti ndoto unafanya mapenzi??
Yawezekana umefungishwa ndoa kiroho.
Mbona mi ni mtu wa maombipole sana itakuwa una pepo
1. MATATIZO YA MWILI
-Harufu ya mdomo, makwapa,miguu
-Uchafu, mavazi yasiyovutia
-Mwonekano mbaya wa sura na mwili
2. UVAMIZI WA KIROHO
Uchawi, vifungo vya mapepo, laana au giza katika mwili.
3. Mvurugano wa kinishati unaosababishwa na KUTAKA SANA WANAWAKE
Ukitamani sana kitu HUTAKIPATA, kwa sababu unatengeneza HALI YA UKOSEFU (A STATE OF LACK)
Ukiwa katika STATE OF LACK in terms of mapenzi, utaendelea kukataliwa na kila mtu.
Jifunze kutomganda sana mtu au kung'ang'ana sana na mapenzi. Take it easy ACHA SHOBO usipapatikie tena JILAZIMISHE KUWAKATAA NA KUWAPUUZA.
UKIFANYA hivo watajileta wenyewe kama kumbikumbi
Shukrani sana
Mbona mi ni mtu wa maombi
Pole una umri ganiHuwezi amini pesa nmetoa sana hata hazisaidii
Hapana nimegonga 30 yrsUtakuwa na utoto sana
Maombi hayawatishi mapepo endapo wakibaini kuwa wewe ni mdogo katika upeo wa kiroho.Mbona mi ni mtu wa maombi
Ahaaa may be 😂Itakuwa hayo maombi Yako ndio yanayo wakwaza wapenzi wako...broh ukiwa kitandani pia Huwa unafanya maombi🤣🤣🤣🤣
Mbona mnakazia sana shooshoo, shoo, shoo, shoo narudia tena shoo, kijana kazana upande wa shoo.
To be precisely ni jini mahaba analo, atafute msaada wa wataalam. Wamsafishe.pole sana itakuwa una pepo