Kila nikipata mpenzi tunakaa kidogo tu tunaachana

Kila nikipata mpenzi tunakaa kidogo tu tunaachana

Kaka fanya uchunguzi wa kina na uwe mkweli wa nafsi yako huenda ikawa una harufu mbaya ya kinywa au jasho kali watoto wa kike hawapend
 
Kaka fanya uchunguzi wa kina na uwe mkweli wa nafsi yako huenda ikawa una harufu mbaya ya kinywa au jasho kali watoto wa kike hawapend
Yaan nicomment nyingi nmesoma hakuna hata kimoja ambacho nakosea wala sina shida ya kinywa hata hzo show sio mbovu......issue nikesema tu huyu sasa ndo mke nitulie nae nitoe hata mahali ghafla bin vuu linatokea lisababu from no where mnaachana
 
1. MATATIZO YA MWILI

-Harufu ya mdomo, makwapa,miguu

-Uchafu, mavazi yasiyovutia

-Mwonekano mbaya wa sura na mwili

2. UVAMIZI WA KIROHO

Uchawi, vifungo vya mapepo, laana au giza katika mwili.

3. Mvurugano wa kinishati unaosababishwa na KUTAKA SANA WANAWAKE

Ukitamani sana kitu HUTAKIPATA, kwa sababu unatengeneza HALI YA UKOSEFU (A STATE OF LACK)

Ukiwa katika STATE OF LACK in terms of mapenzi, utaendelea kukataliwa na kila mtu.

Jifunze kutomganda sana mtu au kung'ang'ana sana na mapenzi. Take it easy ACHA SHOBO usipapatikie wanawake

Tena JILAZIMISHE KUWAKATAA NA KUWAPUUZA.

UKIFANYA hivo watajileta wenyewe kama kumbikumbi

cc Pascal Mayalla
 
1. MATATIZO YA MWILI

-Harufu ya mdomo, makwapa,miguu

-Uchafu, mavazi yasiyovutia

-Mwonekano mbaya wa sura na mwili

2. UVAMIZI WA KIROHO

Uchawi, vifungo vya mapepo, laana au giza katika mwili.

3. Mvurugano wa kinishati unaosababishwa na KUTAKA SANA WANAWAKE

Ukitamani sana kitu HUTAKIPATA, kwa sababu unatengeneza HALI YA UKOSEFU (A STATE OF LACK)

Ukiwa katika STATE OF LACK in terms of mapenzi, utaendelea kukataliwa na kila mtu.

Jifunze kutomganda sana mtu au kung'ang'ana sana na mapenzi. Take it easy ACHA SHOBO usipapatikie tena JILAZIMISHE KUWAKATAA NA KUWAPUUZA.

UKIFANYA hivo watajileta wenyewe kama kumbikumbi

Shukrani sana
 
shoo, shoo, shoo, shoo narudia tena shoo, kijana kazana upande wa shoo.
 
Mbona mi ni mtu wa maombi
Maombi hayawatishi mapepo endapo wakibaini kuwa wewe ni mdogo katika upeo wa kiroho.

Wale wana uelewa mpana, wanaona mpaka ndani mwako, wamekupima wakaona una uzani mchache.

Ukitaka kuwabutua lazima ufahamu wako uinuke sana ujitambue barabara.

Vinginevyo watakusumbua sana, na hata wao wenyewe wanaweza kukusababishia HARUFU YA MDOMO au ya MWILI au wakakutengenezea KIINI MACHO wapenzi wakikutazama wanakuona mbaya na usiyevutia.

Wale ni MABINGWA wa kutengeneza VIINI MACHO, au wanaingia kwenye fahamu za wapenzi unaokutana nao wanaanza kuwashawishi kwamba wewe ni MBAYA.

They are MASTERS in MIND GAMES, tricksters and extremely DECEPTIVE.

Kuwa makini, and i can assure you, wala huna tatizo lolote la kimsingi, ni KIINI MACHO kidogo tu.

Cc: min -me
 
Back
Top Bottom