Kila nikipika naungua

Acha upuuzi nimekwambia ni kaka wewe wawaza usodoma tu, wazigua bwana
Siku nikikutia mikononi mwangu nadhani hutataka uniachie mpaka kifo chako.. Karibu Vibaoni Handeni mkabara na nyumba ya Marehemu Abdallah Omari Kigoda utawakuta wazazi wangu
 
Siku nikikutia mikononi mwangu nadhani hutataka uniachie mpaka kifo chako.. Karibu Vibaoni Handeni mkabara na nyumba ya Marehemu Abdallah Omari Kigoda utawakuta wazazi wangu
Pasaka nilikuwa huko nisharudi zangu town
 
hivi kumbe wewe ni dada? kwa utata wako ninaokuona nao hapa nilifikiri wewe kidume, tena wale wabishi mbaya
Taratibu basi wengine wasisikie, lkn pia hongera kwa kunifuma
 
Usipike ukiwa na haraka andaa mahitaji afu ndo uanze kupika ,tumia vishikio isiguse moto na mikono/ngozi
Angalia namna ya kufungua mifuniko ili kukwepa kuungua na mvuke nk
 
umekulia wapi, tusije tukapoteza muda kumfundisha mtoto wa palace maaana kiafrika na kitanzania hata mtoto wa la nne huwa haungui au hauna upawa unakorogea mkono, nunua mwiko, upawa, na banio hautangua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…