Kila nikipika naungua

Kila nikipika naungua

Siku nikikutia mikononi mwangu nadhani hutataka uniachie mpaka kifo chako.. Karibu Vibaoni Handeni mkabara na nyumba ya Marehemu Abdallah Omari Kigoda utawakuta wazazi wangu
Pasaka nilikuwa huko nisharudi zangu town
 
Usipike ukiwa na haraka andaa mahitaji afu ndo uanze kupika ,tumia vishikio isiguse moto na mikono/ngozi
Angalia namna ya kufungua mifuniko ili kukwepa kuungua na mvuke nk
 
umekulia wapi, tusije tukapoteza muda kumfundisha mtoto wa palace maaana kiafrika na kitanzania hata mtoto wa la nne huwa haungui au hauna upawa unakorogea mkono, nunua mwiko, upawa, na banio hautangua
 
Back
Top Bottom