elfu 65 tu kariakoo nunua westpoint nipo nayo mwaka wa tatu sasa haina problemu ukishanunua niambie nikuelekeze jinsi ya kupika wali mzuri hukohiyo rice cooker itabidi niitafute asante mkuu
Umenkumbusha wali wa kwenye chungu mtam had bas.
Wali kwenye chungu?! Ama kweli kuishi ni kujifunza. Unaugeuzaje na chungu chaoshwaje?
Kupika wali kumbe ni mtihani kwa wengine....