Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
 
Kuna watu walihisi hivyo walipoona mpira waliocheza Al Ahly na Bayern, AS Vita wamekuwa wakipata matokeo mazuri wanapocheza away lakini kama umegundua mpira wa sasa hivi ni mbinu zaidi nina imani na kauli ya kocha wetu aliyesema anaifatilia as vita kwenye mechi zake za nyumbani na mashindano ya Afrika.
 
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio ( Ushindi ) wa Mchezo wa Soka ( Kabumbu ) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo ( Majonzi ) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na ' Double Majonzi ' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu ( bila bila ) au Pacha ( ya Magoli ) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Walishinda ngapi?
 
As vita hii ya shishimbi hakuna timu pale, ilifungwa na al ahly 3-0 kwake kinshasa kama imesimama..

Simba pia kamfunga pale pale Kinshasa...

Mimi mwanayanga...ila simba na vita kwa mkapa.. matokeo nayajua kabisa... vita hawezi pata point 3 kwa mkapa hata iweje
 
Hakuna Watu Wanafiki kama wa Yanga.
 
rejea marudio ya vita na simba huko kinshasa halafu endelea kuogopa

Usipokuwa na Jicho la Kiufundi na pengine hata huko nyuma hukuwahi au pia hujawahi Kucheza Mpira wa Mashindano yoyote yanayotajwa ikawa ama Kitaifa, Kitaasisi na Kimataifa kamwe hutoweza Kunielewa Kimantiki na Kiuchambuzi All - Rounder Mimi. Pole!!
 
huna chochote unachokijua, hao vita hata waombe wachezaji wa tp mazembe waunganishe nguvu pamoja na wachezaji wa yanga, hapo kwa mkapa hawatoki.
 
Morons wakichangia huwa nafurahia tu.
 
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Staili zote za uto tunazijua jifanye kujificha tena
 
Wale wanalogwa kama walivyologwa waarabu mpaka wakawa wanainama tu uwanjani.......unakumbuka makusu badala ya kutoa pasi akabutua mpira nje full miguu kugongana....
 
Back
Top Bottom