Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

Kwio
 
Hii ndio mechi pekee ambayo simba watagundua kumbe ndani ya pilau kuna kinyesi kiliwekwa chini.....
sherehe yote itaharibika.....
na kwa mwarabu ndio hawatoki kabisaa

Utopolo bhana, akili zenu zenyewe hovyo kabisa! Mmekuwa mkiitakia simba mabaya lakini ndio hivyo inazidi kuchanja mbuga!
Jana wakati As Vita wanasawazisha mashabiki wa utopolo walianza ooh sijui simba itapigwa tano lakini baada ya mechi wote walikuwa wananuna tu, utadhani litimu lao ndio lililofungwa!
Kwa taarifa yenu wanautopolo endeleeni kuitakia simba mabaya lakini mtaona itakachofanya kwenye haya mashindano!
Kule kwa Waarabu Misri game ya mwisho hamtaamini waarabu watakavyofanywa kwao, na wala msije mkasingizia Corona!
Utopolo mwaka huu mtanuna sana, subirini mwezi wa sita ufike muone historia mpya ya Africa itakayokuwa imewekwa na Simba!
 
Mie nimeongelea tu tofauti kati ya wenye uelewa wa mpira na wanaofuatilia matokeo tu...
Ulisema statements zetu simba waliziprove wrong kwa kushinda.

Sasa kwa sababu umeniweka kwenye kundi la wanaojua mpira onyesha popote niliposema Simba hawezi kushinda against hizo teams
 
Hii mechi sioni simba kama atashinda ata kama ni kwa mkapa sijui kwa magufuli trust me simba anakufa bao tatu bila ubishi
Tukutane hapa baada ya tarehe 3
[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji196][emoji196][emoji196]
 
Wamekuwa Kama kigogo 2014 vile anavyotoa maboko siku hizi huko twita republic
 
Daah ina maana walivyovuka tu mpaka fainali na esperance
 
Ulisema statements zetu simba waliziprove wrong kwa kushinda.

Sasa kwa sababu umeniweka kwenye kundi la wanaojua mpira onyesha popote niliposema Simba hawezi kushinda against hizo teams
Mimi niko kundi la wasiojua mpira... Yaani kundi la kuangalia matokeo tu.... Sasa wewe unayejua hamna mahali ulisema pia kuwa Simba atashinda hivyo ni dhahiri haukuamini atashinda
 
Watoto wa Kike ndiyo huwa na Msemo huu sana na nikiona ( nikisikia ) Mwanaume anasema napatwa na Mashaka na kwamba huenda akawa ni Muokota Kuni kama si Msukuma Ukuta wa Berlin.
Kwa hio marehem meko aliimba Na kucheza huu wimbo kabisa.

Au umeamua tu kuropoka?
 
Si nilisema? Mtoa uzi keshatoroks tayari na kutelekeza uzi wake!! Kina All-Rounder, Senzo, na utopolo et Al huwezi kuwaona tena jukwaani!! Kina Generalist hata ukiwaitia pesa hawawezi kusogea hapa, si kwa aibu hiyo!!

Humu ( hapa ) kuna Watu Wapumbavu ( Majuha ) mno na ndiyo maana huwa ninawadharau sana tu.

Nimeanzisha Uzi kuonyesha Tahadhari yangu tu ya Kimchezo hasa kutokana na Uchezaji wa AS Vita Club.

Hskuna mahala Generalist nimesema Simba SC itafungwa jana na AS Vita Club kama ipo naomba mnionyeshe hivi sasa.

Na msichokijua huenda hata Mtazamo wangu wa Kimashaka umeweza Kuwasaidia Benchi la Ufundi Kujipanga zaidi Kimbinu.

Nashukuru wapo Wachache Werevu walinielewa na wananielewa isipokuwa kwa Waswahili Wapuuzi wengi mliopo.
 
Sisi ni nani hadi tumbishie mfalme JUHA?
 
msiache kupata na uoga mjinyee na kujikojolea kabisa ili tufike nusu fainali

Humu ( hapa ) kuna Watu Wapumbavu ( Majuha ) mno na ndiyo maana huwa ninawadharau sana tu.

Nimeanzisha Uzi kuonyesha Tahadhari yangu tu ya Kimchezo hasa kutokana na Uchezaji wa AS Vita Club.

Hskuna mahala Generalist nimesema Simba SC itafungwa jana na AS Vita Club kama ipo naomba mnionyeshe hivi sasa.

Na msichokijua huenda hata Mtazamo wangu wa Kimashaka umeweza Kuwasaidia Benchi la Ufundi Kujipanga zaidi Kimbinu.

Nashukuru wapo Wachache Werevu walinielewa na wananielewa isipokuwa kwa Waswahili Wapuuzi wengi mliopo.
 
Umesha andikanombi lako la public holiday ?

Humu ( hapa ) kuna Watu Wapumbavu ( Majuha ) mno na ndiyo maana huwa ninawadharau sana tu.

Nimeanzisha Uzi kuonyesha Tahadhari yangu tu ya Kimchezo hasa kutokana na Uchezaji wa AS Vita Club.

Hskuna mahala Generalist nimesema Simba SC itafungwa jana na AS Vita Club kama ipo naomba mnionyeshe hivi sasa.

Na msichokijua huenda hata Mtazamo wangu wa Kimashaka umeweza Kuwasaidia Benchi la Ufundi Kujipanga zaidi Kimbinu.

Nashukuru wapo Wachache Werevu walinielewa na wananielewa isipokuwa kwa Waswahili Wapuuzi wengi mliopo.
 
Mimi niko kundi la wasiojua mpira... Yaani kundi la kuangalia matokeo tu.... Sasa wewe unayejua hamna mahali ulisema pia kuwa Simba atashinda hivyo ni dhahiri haukuamini atashinda
Nikikuonyesha niliposema watashinda na kwenda quarterfinal uko tayari kufuta huu utumbo ulioandika humu ?
 
Kwa hio marehem meko aliimba Na kucheza huu wimbo kabisa.

Au umeamua tu kuropoka?

Humu ( hapa ) kuna Watu Wapumbavu ( Majuha ) mno na ndiyo maana huwa ninawadharau sana tu.

Nimeanzisha Uzi kuonyesha Tahadhari yangu tu ya Kimchezo hasa kutokana na Uchezaji wa AS Vita Club.

Hskuna mahala Generalist nimesema Simba SC itafungwa jana na AS Vita Club kama ipo naomba mnionyeshe hivi sasa.

Na msichokijua huenda hata Mtazamo wangu wa Kimashaka umeweza Kuwasaidia Benchi la Ufundi Kujipanga zaidi Kimbinu.

Nashukuru wapo Wachache Werevu walinielewa na wananielewa isipokuwa kwa Waswahili Wapuuzi wengi mliopo.
 
Daah ina maana walivyovuka tu mpaka fainali na esperance
Hawakucheza final na Esperance bali walicheza na Raja Casablanca kombe la shirikisho na Esperance alicheza final champions League dhidi ya Wydad Casablanca.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…