Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

Napata mashaka na kiwango chako cha kuelewa swali na jinsi unavyo attempt swali .
Mm nimeuliza umesha andika ombi la kuomba public holiday ? (Kwa mujibu wa bandiko ulisema endapo SSC watashinda utaomba public holiday)
Jibu lilipaswa liwe ndiyo au hapana sijaandika
😃😃😆😆😂 Chief una kwama wapi ?
 

Imeisha hiyo!!!
 
Hawakucheza final na Esperance bali walicheza na Raja Casablanca kombe la shirikisho na Esperance alicheza final champions League dhidi ya Wydad Casablanca.
Ok tuendelee na mjadala au tuishie hapa[emoji3][emoji3]
 
Nimegindua hawa wanaodai wanaelewa mpira hawana lolote. Wamekuwa wakitegemea takwimu za Google tu na hawana wanachokijua kiuhalisia....
Ninathubutu kusema hawa ni wajuaji makanjanja
 
Endelea kuangalia marudio mkuu.
Pia usisahau kuangalia na Mamelod na endelea patwa na uwoga.
Uto wewe
 
Ila panoja na hayo Maboko yake lakini bado tu 24/7 unamfuatilia. Watanzania ni Wanafiki kuliko Maelezo halafu hata Aibu hawana.
Tunayapata huku huku JF kwa wanaoleta mrejesho,wengine mambo ya sijui VPN hatunaga
 
Hata ukikasirika na kutukana haikusaidii utopolo mkubwa!! Ukome kujifanya mshabiki wa Simba wakati kila siku unaiwangia kwa kutumia hizo ID zako kibao!! Uzuri hujafanikiwa!
Mara ajifanye mtabiri
hapo hapo ageuke mchambuzi yaani hoves hoves

Heri Mshana Jr yeye alishajipambanua wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…