malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mkuu swalakushindana kwakushusha Bei limekua kwa miaka mitatu Sasa nagharama zauendeshaji biashara nikubwa nareturn nindogo mno tofaut na mtaji wenyeweShikilia hapo hapo shusha shusha shushaaaa tena mpaka waombe pooo
wake up
:unawateja wanao kutingisha kukuona uzaifu wako.
jibu zuri!
ukiona mtu hataki kufika bei tako mruhusu kwenda huko ana sema bei ni chini!
hizi code uwezi pata sehemu yoyote
Naboreshaje mkuu maana bidhaa za vyakula unavozijua ni bidhaa zinazozalishwa naviwanda vya humu humu nchini bidhaaa Kama ngano,sukar,mafuta,chumvi,juis,maji, Sasa hapo mkuu naboreshaje ubora wabidhaa Hali mim simzalishaji...napia namna soko lililivyo wateja wameshazoea Bei ndgo ukiweka Bei kubwa hautampata mteja hata mmoja utabaki unazishangaa bidhaa zako mwenyewe dukaniBoresha ubora wa bidhaa zako kushinda washindani wako, then acha bei hiyo hiyo, usishushe.
Mkuu auboreshe vipi mchele na maharagweBoresha ubora wa bidhaa zako kushinda washindani wako, then acha bei hiyo hiyo, usishushe.
Mkuu kila siku natafiti wapinzani wangu Bei wanazouza nna mashushu wangu wangu napia nimekua nikitumia mbinu yakununua bidhaa toka kwa washindani wangu kwakutumia mtu na anapewa kwa Bei ndogo nachenji inarud sowake up
:unawateja wanao kutingisha kukuona uzaifu wako.
jibu zuri!
ukiona mtu hataki kufika bei zako mruhusu kwenda huko ana sema bei ni chini!
hizi code uwezi pata sehemu yoyote
Sjakuelewa unapisema nna wateja wanaonitingisha kwakuniona udhaifu wangu kivip hapo sjaelewawake up
:unawateja wanao kutingisha kukuona uzaifu wako.
jibu zuri!
ukiona mtu hataki kufika bei zako mruhusu kwenda huko ana sema bei ni chini!
hizi code uwezi pata sehemu yoyote
Mkuu kila siku natafiti wapinzani wangu Bei wanazouza nna mashushu wangu wangu napia nimekua nikitumia mbinu yakununua bidhaa toka kwa washindani wangu kwakutumia mtu na anapewa kwa Bei ndogo nachenji inarud so
1. Kwa kuwa na kauli nzuri kwa wateja.Mkuu auboreshe vipi mchele na maharagwe
Kwenye kubadili biashara ndio naumiza kichwa maana walaji wahuku hupenda Bei cheee kipato Chao wengi nichachini nawakati Kias so kuivest biashara inayoendana mlnahali yakipato Cha watu ktkt eneo langu ndo mtihani naumiza kichwaBadili biashara iwapo hiyo Unayoifanya sasa Haikulipi...!
Ongeza customer base..usitegemee wateja haohao sikuzote..Tumia mitandao kujitangaza zaidi..Ongeza huduma za ziada.(fanya deliveries,walipaji wazuri unaweza kuwapa kwa mikopo,)lugha nzuri, mwonekano wa bashasha huvutia watu, mazingira mazuri ya ofisi,branding....Naboreshaje mkuu maana bidhaa za vyakula unavozijua ni bidhaa zinazozalishwa naviwanda vya humu humu nchini bidhaaa Kama ngano,sukar,mafuta,chumvi,juis,maji, Sasa hapo mkuu naboreshaje ubora wabidhaa Hali mim simzalishaji...napia namna soko lililivyo wateja wameshazoea Bei ndgo ukiweka Bei kubwa hautampata mteja hata mmoja utabaki unazishangaa bidhaa zako mwenyewe dukani
Mkuu nihatar mkuu biashara hizi nichangamoto hasa kwasisi tulio maeneo yenye soko limited kwa maana mji ni mdogo walaji niwalewale alafu supplier ndo wanaongezeka ktk same business yaaan nawaza mbinu gani nitumieBattle lako nisawa na la diamond na harmonize. Be you
Mkuu bado hujatoa suluhu naona bado nawe unalalamika tu..Biashara ni sayansi na inataka elimu au uzoefu wa mda mrefu sana
Tatizo kila mmoja anafanya biashara siku hizi na faida ndio hizo mnazopigania za 200
Mtu anafanya biashara ya faida 200 na anakuambia siachi hata 100 basi bora kutafuta kazi nyingine
Mlo wao wanalia hapohapo kwa maji ya kisima yaani maisha ya wengine ni duni sana kiasi unasema hivi huyu ni mfanyabiashara au anaganga njaa tu
Mwisho wa mwaka TRA wakija kudai chao hujawakusanyia kabisa maana wewe ulikuwa unaweka faida yako tu bila kuweka na VAT maana ukiweka na hiyo vat bei lazima iwe juu
Ndio hapo tunarudi na kusema biashara ni Elimu
Angalia Asians wanavyofanya biashara
Kesho akiendesha V8 unasema mwizi kumbe faida ya bidhaa zake ni zaidi ya nusu na VAT kakulima kiaina
Tutakalia kusema wakuja wanaiba sana ila hatujui kuwa biashara ni zaidi ya tunavyoiona
Wengi wanafuata mkumbo tu halafu msimu wa kulima usifika anaenda kulima na kumuacha wife anauza duka
Sasa unajiuliza huyu ni mfanyabiashara au mkulima?
Sifoki ila ukweli ndio huo na wengi wanafeli kwa sababu ya jirani kampiga bao anaenda kuchukua mkopo wa mamilioni ili ajaze duka ila bado anakuja kufeli vibaya na mwisho nyumba inapigwa mnada
Hitimisho naona kiwango cha biashara kwa wengi ni kuuza ubuyu na karanga tu