Biashara ya kuimport unatakiwa uwe na mtaji kwelikweli (ila wewe jamaa nahisi unampunga mrefu sana, unawaza kuimport!)Nawaza labda kuuza bidhaa amabayo nchini haizalishwi au niagize bidhaa nje ya nchi ua nianze biashara yakuimport ktk bidhaa yoyote ile
Mkuu umesema sahihi kabisa..mim nafanya delivery bule..Ila Kama ulivosema naungana naww kuwa biashara ya jumla nibiashara kichaa manaa kila siku inaumiza kichwa hasa ukiwa ktk eneo lawenye mitaji mikubwa Zaid yakoWengi wanatoa ushauri bila kuelewa biashara ya duka la jumla. Ngoja nitoe mwazo yangu kuhusu hii biashara kidogo.
Mosi, hii biashara kama una mtaji mdogo basi inatakiwa utafute sehemu ambayo utakuwa mbali na wenye mtaji mkubwa maana wao wanachukua mzigo mkubwa na huwa wanapata kamisheni wakimaliza ule mzigo. Kwahiyo anakuwa analenga faida ndogo ili auze haraka ili apate kamisheni.
Pili, inatakiwa uwe unafanya delivery bure kwa wateja wako, hii itasaidia sana kwa wale wateja wavivu ambao hawapendi kuzunguka yani wanapiga simu unawapelekea mzigo.
Biashara ya jumla ni biashara kichaa inayoumiza sana kichwa kama upo sehemu yenye ushindani halafu una mtaji mdogo
Sina uwezo wakuagiza kontena hata ka futi 20 siwezi Ila kamataji naweza gawa nkaagiza loose cargo uku nakomaa na hii ya jumla kusomachezoBiashara ya kuimport unatakiwa uwe na mtaji kwelikweli (ila wewe jamaa nahisi unampunga mrefu sana, unawaza kuimport!)
Kuagiza kontena la futi 40 au futi 20 kutoka nje mpaka ufikishe tz , upitishe bandarini sio kazi ndogo.....fanya utafiti wa kina mno.
Japo mimi siyo mtaalamu kwenye mambo hayo ila ningekushauri na wewe bidhaa zako tafuta supplier ambaye atakuuzia kwa bei ndogo, yaani jaribu kupata bidhaa zako kwa bei ndogoHabar wakuu nimekuja kwenu kutaka fikra namawazo..Niko ktkt biashara ya duka la jumla lavyakula kwamuda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwakushusha Bei chini Zaid nami nimekua nikishuka nao..Sasa Basi Hali hii imepelekea kuzid kukupunguza faida ktk kila bidhaa matokeo yake unajikuta ktk bidhaa unayoiuza 56000 unabakiwa nafaid200
Naukisema ubaki nabei juu tofaut nawashindani wako Basi wateja wengi hukimbilia kwa wenye Bei ndogo Zaid maana soko nidogo wateja niwale wale mnafanya kugawana wateja kwambinu yakushusha Bei..wakuu nin nifanye nitoboe maana nawaza mbinu nyingi Zina feli
Mkuu bidhaa tunanunua viwanda vya humu humu ndani sio kwamasupllierJapo mimi siyo mtaalamu kwenye mambo hayo ila ningekushauri na wewe bidhaa zako tafuta supplier ambaye atakuuzia kwa bei ndogo, yaani jaribu kupata bidhaa zako kwa bei ndogo
LABDA NYOTA YAKO IMEFIFIA MKUU, KAISAFISHEHabar wakuu nimekuja kwenu kutaka fikra namawazo..Niko ktkt biashara ya duka la jumla lavyakula kwamuda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwakushusha Bei chini Zaid nami nimekua nikishuka nao..Sasa Basi Hali hii imepelekea kuzid kukupunguza faida ktk kila bidhaa matokeo yake unajikuta ktk bidhaa unayoiuza 56000 unabakiwa nafaid200
Naukisema ubaki nabei juu tofaut nawashindani wako Basi wateja wengi hukimbilia kwa wenye Bei ndogo Zaid maana soko nidogo wateja niwale wale mnafanya kugawana wateja kwambinu yakushusha Bei..wakuu nin nifanye nitoboe maana nawaza mbinu nyingi Zina feli
Hakuna Cha nyota kufifia Wala nin....nichangamoto zakibiashara tu mkuuLABDA NYOTA YAKO IMEFIFIA MKUU, KAISAFISHE
Nyota naisafisha kwakutoa zaka ktk Mali yanguLABDA NYOTA YAKO IMEFIFIA MKUU, KAISAFISHE
Mkuu bado hujatoa suluhu naona bado nawe unalalamika tu..
Anunue mchele mzuri na asichakachue huo mchele maana wengi waweza sema mchele original wa mbeya kumbe ni fake hauna quality wamepaka tu mafuta ukienda kupika utajua hujui.Mkuu auboreshe vipi mchele na maharagwe
Mkuu Kama hutojali kariakoo ulikua unafanya biashara ganiHii mbinu nimeitumia Sana kwenye biashara yangu kariakoo, kulikuwa na mchina anasumbua soko nikaamua kwenda nae kiroho kutu, akipunguza 1000 kwenye item moja mm napunguza 1500.
Ndani ya miezi mitatu akanyoosha mikono akaacha hiyo biashara, hapo sasa nikapandisha bei kadiri navyotaka.
Hao jirani zako wanakupeleka puta ukishachemka wanarudi kwenye bei ya kawaida
Accessories za simu mkuuMkuu Kama hutojali kariakoo ulikua unafanya biashara gani
Big up mkuu nikupambana mpaka pumzi ya mwishoAccessories za simu mkuu
Kwel nmeamin watu weng bado hawajaishtukia biashara hapa bongo.Kwa lugha nyingine ibrand biashara yako badala ya kuendelea kupunguza bidhaa
Ktk biashara unachopaswa kufanya ni kucheza na saikolojia ya mteja Tu..
mfano wewe na mshindani wako wote mnauz mchele wa kyela kilo ni TSH 1500/=,mwenzio akapunguza bei akauza 1200/= wewe badala ya kuuza elfu Mia mbili km yeye badala yake pima kilo yako weka kwenye package mzuri kuliko mfuko(kifaa) aliikuja nao.custimer care pia ni kipengere muhimu sn..hapo utamfanya mteja ajiskie vizuri sn