Kila nikitazama nyuso za wanaonizunguka ni kama hazina furaha

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani.

Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa upatikanaji wa pesa kitu kingine kinachotukosesha furaha bongo ni usafiri.
 
images (11) (24).jpeg
 
Copy! Aione mama
 
Kila ukitafakari mvua za Asubuhi, mvua za jioni usafiri kushikilia Bomba mixa foleni

Unafikiri tutapataje furaha🤔
 
Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani.

Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa upatikanaji wa pesa kitu kingine kinachotukosesha furaha bongo ni usafiri.
Huku Dodoma mvua hazijanyesha vya kutosha, mazao yamekauka, Njaa imeingia,Sasa tutakula na furaha itoke wapi?Na Siasa ndio kumechanganya!......No election.
 
Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani.

Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa upatikanaji wa pesa kitu kingine kinachotukosesha furaha bongo ni usafiri.
We utakuwa ni mchawi, unapata wapi muda wa kuwatazama watu machoni?
 
Back
Top Bottom