BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Copy! Aione mamaHichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani.
Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa upatikanaji wa pesa kitu kingine kinachotukosesha furaha bongo ni usafiri.
Huku Dodoma mvua hazijanyesha vya kutosha, mazao yamekauka, Njaa imeingia,Sasa tutakula na furaha itoke wapi?Na Siasa ndio kumechanganya!......No election.Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani.
Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa upatikanaji wa pesa kitu kingine kinachotukosesha furaha bongo ni usafiri.
We utakuwa ni mchawi, unapata wapi muda wa kuwatazama watu machoni?Hichi kitu nimeanza kukinotice tokea mwezi wa tatu mwishoni people hawana furaha kabisa yaani hata mtu akifurahi ni kama analazimisha kufurahi hakuna furaha ile ya kutokea ndani.
Mimi mwenyewe sina furaha means kukosa furaha kwa watu wengi Kuna cause ambayo ni common ukiachilia mbali ugumu wa upatikanaji wa pesa kitu kingine kinachotukosesha furaha bongo ni usafiri.