GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kocha wa Timu ya Taifa ya Congo DR simwelewi yaani kamuita Beki aliyekuwa Majeruhi Henock Inonga wa Simba SC inayoshiriki Kombe jipya na lenye UTAJIRI mkubwa unaoshirikisha Vilabu Bora na Vikubwa la AFRICAN FOOTBALL LEAGUE na kumuacha ( kutomuita ) Kiungo Mshambuliaji Max Zengeli wa Yanga SC anayecheza Kombe la Kawaida la NBC Premier League na lile lisilo la Thamani la CAFCL ambalo Yanga SC ina miaka 25 haijafika / haijacheza hatua ya Makundi.
Tafadhali wana Yanga SC Wenzangu nionyesheni Picha ya Mchezaji wetu Max Zengeli ambaye Kutwa tunamsifia, tunachomekea kama Yeye na tunamuimba akiwa na Timu yake ya Taifa ya Congo DR kwani nachoka sasa kila mara kuona tu Picha za Mchezaji wa Mahasimu wetu Simba SC Beki Henock Inonga akipasha na Wenzake.