Kila nikitongoza mademu hawaniamini.

Ahaa ahaa first lady wangu nimecheka sana yaani afanye EVALUATION ya tongozo zake

Ni muhimu Mr President kwa binadamu kufanya evaluation ya kila hatua kwenye maisha,ili ujue unajirekebisha wapi,uboreshe wapi, au ubadilishe nini.....l.o.l
 
mada yako nimeipenda sana , mengi wezangu wametangulia kukueleza ila napenda kusisitiza kuwa jaribu kumsoma mwanamke kwanza yaani jenga urafik nae kwanza, yale mambo ya kukutani njiani na kuanza kutongoza hata jina umjui yamepitwa na wakati na ukifanya hivyo hupati mwanamke na ukupata bas ni kimeo
 
Na asiwe na haraka, jaribu kwanza out bila neno, jaribu zawadi na msg za kumsalimia asubuhi mchana na jioni akisha kuzoea unapop in na swali lako
 
we unabahati nzuri sana. kumbe kazi uliyonayo ni ndogotu, yakumfanya aone kua unampenda kweli.
wengine tushapenda tukajibiwa kua tulishachelewa.
na hapo tupo inlove kchizi.
 
nahisi tatizo ipo kwenye utongozaji wako, inawezekana unajionesha ujanja ujanja ukiwa nao, wanawake hawataki hizo! pia inawezekana unakata tamaa mapema sana,,msichana ukimpenda unamfatilia kweli kweli, sio akwambie no na wewe udhani anamaanisha, sometimes anakuwa anakupima tu. Mi nilimfatilia msichana karibu mwaka mzima nikampata na miezi michache ijayo tutaoana, so ndugu yangu, kama umempenda msichana na una dhamira naye ya kweli usimwache aende.
 
Anaonekana ni HENDISAM BOI wa maelezo halafu vilevile ni JOKA LA KIBISA.
Hebu mueleze kwamba wadada wa siku hizi hawataki mabitozi au macheki bobu, wanataka wenye sura ka maharage yaliyoungulia kama sisi . . .
 
Inaonekana ni kweli hauko serious, unatokea tokea mademu. Na kwa taarifa yako wengi wanaambizana.
 
nenda kimboka kajaribu kutongoza pia, nao wakichomoa songa loliondo mwambie babu akupedawa yakuoga sio ya kunywa.
 
nenda kimboka kajaribu kutongoza pia, nao wakichomoa songa loliondo mwambie babu akupe dawa yakuoga sio ya kunywa.
 
Na asiwe na haraka, jaribu kwanza out bila neno, jaribu zawadi na msg za kumsalimia asubuhi mchana na jioni akisha kuzoea unapop in na swali lako
Gaga mimi naanza na wewe nakutoa outing kisha naanza kukumwagia msg kama sina akili nzuri "Honey umeamka salama,umekunywa chai,umekula mchana how was your day" Part 2 itaendelea kesho
 
Aaah kaka, kama wote wanakutolea nje, basi wewe susa kabisa kuwatongoza...!

Yaani achana nao kabisa.
 
Weka script ya tongozo zako hapa nizipitie ili kujua tatizo liko wapi.
 
Motto Samuel,
Bila mausanii yanayo fanana na ukweli hupati kitu, maana hawa wenzetu wanapenda uwafanye wajisikie 'hakuna na mfanoe' uliyewahi kuona cheki mausanii ya mwana- 'novel' Samuel Richardson ktk kitabu chake 'Clarissa' anavyomwanga sera kwa bibie:

''Thou shalt judge of her dress as at the moment she appeared to me, and as, upon a nearer observation, she really was. I am a critic, thou knowest, in women's dresses-- Many a one have I taught to dress, and helped to undress. But there is such a native elegance in this lady that she surpasses all that I could imagine surpassing. But then her person adorns what she wears, more than dress can adorn her; and that's her excellence.''

Inawezekana unawafuata bila kujua shida yao ni nini? Wengine unaweza ukawatamani kuishi nao lakini wao wanataka wa kupita tu na pesa.
 
Anaonekana ni HENDISAM BOI wa maelezo halafu vilevile ni JOKA LA KIBISA.
Hebu mueleze kwamba wadada wa siku hizi hawataki mabitozi au macheki bobu, wanataka wenye sura ka maharage yaliyoungulia kama sisi . . .

hahahahahah lol
etu sura ya maharage yaliyoungu daaahhhhh
umenichekesha kwa kweli mmmhhh

mie aniambie anazo ngapi$$$$$$$$???
halfu nikisha ona nusu ya hiyo ime transfer kwenye account yangu
ndo ntamfikiri na bado atakuwa na bahati nikimkubalia hahahahah lol
hii yote ni sababu ya Ubishololo aliouonyesha
 
Reactions: CPU
komaaaaaaaaaaa wangu wana wake nao wametofautiana swaga zao usikate tamaa nduyangu>>>>>>>>>>>>>>>.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…