Kila nikitongoza mademu hawaniamini.

Kila nikitongoza mademu hawaniamini.

sina uhakika kwa hayo unayosema,maana yalikuwa mambo ya kizamani sana sikuhizi msichana hamkatai mtu bw hatakama ni mlemavu,ninacho hisi hapa ni kwamba wewe unajisifia wewe ni mzuri!

HUHHH??Wasichana gani hao wasiokataa mtu?Labda unaishi kwenye danguro wewe!
 
hahahahaha lol Jinsi ulivyoandika
ni kama unataka kusema we ni mzuri saaanaa
hadi wasichana wanaogopa utawaacha mmmhhh
haya bwana..

kwanza umesha kosea kumita "DEMU"
msichana unayempenda na uko serious naye ..
Pili labda njia yako ya kutongoza ni ya maringo
au hujui kutongoza kama kila msichana nakukataa..

I Like it!!!
 
We mr handsome nini? Maana wengi wenu hamjatulia!!
 
duh! inaonokena wewe una presha nao knoma bila kujua mambo haya yanaenda taratibu, kuna uewezekano ushagonganisha na watu wakajuana, so ka notion nikalekale cku zote, chek out process yako kaka utapata jibu, cku hzi demu kupata ni easy wewe tu.
 
Udhalilishaji mwingine huu hapa
 
Saikolijia ni muhimu sana. Kwani inategemea sana mazingira na mambo mengine kadhaa wa kadhaa.
 
Inabidi ujaribu kuweka mazoea naye kwanza, huku ukijitahidi kuonyesha uaminifu kwake. Mfano unaweza kumuomba ushauri wa hapa na pale ukizugia tu, ila inategemea na huyo dada pia!
 
Weka script ya tongozo zako hapa nizipitie ili kujua tatizo liko wapi.
Ahahahaaa hivi kuna kuandaa mistari kabla ya kunyuka tongozo? I dont remember the last time nilinyuka tongozo japo kila siku sikukuu.
 
hahahahaha lol jinsi ulivyoandika
ni kama unataka kusema we ni mzuri saaanaa
hadi wasichana wanaogopa utawaacha mmmhhh
haya bwana..

Kwanza umesha kosea kumita "demu"
msichana unayempenda na uko serious naye ..
Pili labda njia yako ya kutongoza ni ya maringo
au hujui kutongoza kama kila msichana nakukataa..

thank you...
 
Back
Top Bottom