Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

me pia everywhere i pass mimacho najulikana kila napoenda wakizidi nami nawakodolea inaboa
 
Ilo ni wenge tuu tena kwakuwa umeshajiwekea kwamba nikipita watu wananikodolea macho watakukodolea kweli kweli..chakufanya wew kuwa busy na mishe zako hata utawaona wanaokushangaa
Kwa maekezo yako inaonekana wew ni mshangaaji wa watu saa ukikuta macho yamegongana ndo unajishtukia
Mkuu najitahidi kufanya yote yao but mambo ni yale yale.Mfano leo asubuhi nilipanga kuonana na mtu mahali, ile namfikia ananiuliza mbona watu wanakushangaa sana? na siyo mara ya kwanza wala ya pili........ndo maana nikasema nije kuuliza humu ndani.
 
mimi navojua definition ya kushangaa ni kumuangalia mtu! sasa mkuu kama utakua unawaona wanakushangaa means kwamba na wewe unawaangalia kwa iyo apo wote mnashangaana
Mida mingine siyo mimi ninawaona ila utakuta mtu niliyeambatana naye ananiuliza mbona yule mtu anakukodolea macho sana?
 
Mida mingine siyo mimi ninawaona ila utakuta mtu niliyeambatana naye ananiuliza mbona yule mtu anakukodolea macho sana?
basi apo inabidi ukiona mtu anakushangaa uende ukamuulize ndio atakupa jibu sahihi otherwise here we only speculating
 
me pia everywhere i pass mimacho najulikana kila napoenda wakizidi nami nawakodolea inaboa
Umeona ee? ila mimi sijawahi kuwa na atmosphere ya kuhisi chuki au ubaya......wakinikodolea nami nawapa hi, ila najiuliza sana.
 
Mkuu....
Kama jinsia yako ni me, jichunguze labda sehem zako za makalio zimnona....[emoji39] [emoji39]
Sasa, wadada wanakushangaa kwamba mwanaume umeumbika. Na wakaka wana kutamani.
Nawaza tu....[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom