Kila Ninapowaza Kuacha Bia.....

Kila Ninapowaza Kuacha Bia.....

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....

baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya ndovu naendelea kunywa....

sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Ungewaza pia baada ya waiter kuzungusha ni mifuko mingapi ya cement ungenunua?
 
kwa maana kwamba kwa kuzungusha round za bia na kushindwa kununua mifuko ya cement, ajue kuwa wafanyakazi wa viwanda vya cement na familia zao, madereva wa maroli ya cement na familia zao, wenye maduka ya cement pamoja na wafanyakazi wao maisha yao yamekuwa magumu kwa sababu yake..
 
Naona mlevi anatafuta fact ya kuendelea kunywa pombe ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata kama ni kodi huwezi kuikinga tena ukiwa over 70 lakini ukiwa na nyumba za ziada utapata kodi ukiwa umri huo.
Najua hii pesa nnayo tumia nimeipataje

Na Hujui mi Nina milad gan Iyano niiingizia pesa per Day
 
kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....

baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya ndovu naendelea kunywa....

sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Save water Drink beer....
 
kwa maana kwamba kwa kuzungusha round za bia na kushindwa kununua mifuko ya cement, ajue kuwa wafanyakazi wa viwanda vya cement na familia zao, madereva wa maroli ya cement na familia zao, wenye maduka ya cement pamoja na wafanyakazi wao maisha yao yamekuwa magumu kwa sababu yake..
wenye bar,watu wa TBL. watatumia hela anazowapa kununua cement.
 
Hahahaa jamaaa anaenzi bidhaa za nyumbani kwa moyo mmoja!
 
Back
Top Bottom