Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

B22

Member
Joined
Mar 31, 2021
Posts
22
Reaction score
43
Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.

Naomba ushauri wenu.


 
Nmepita mtaani nimekuta, kibao cha tangazo kwenye Kuta ,

Eti kuongeza Mvuto wa kimapenzi.πŸ˜‚πŸ˜‚

Hebu jaribu hao labda, au huko kwenu hamna watu wa hizo mamboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…