Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

Kweli kabisa lakini Kuna muda mm Kama kijana natamani niwe kwenye mahusiano lakini Kila nikijitahid kumfuata msichana nimpendae ndo ivo wengne dharau nying
Ni kweli na sahihi.Lakini,kuwa mpole muheshimiwa.Si muda sana utampata mtu wako mzuuuriii.Na amini utafurahi sana.Hao wengine siyo uliochaguliwa na Mungu.Subira ni muhimu sana mkuu wangu.
 
Ulishawahi kuwa na jazba au umelia sanaaa..ukapewa maji,sasa ile hali unayojisikia baada ya kunywa maji ndio ninayoimaanisha Chief
Kama maji nishakunywa sana...muda mwingne nakubali situation lakini muda mwingne mm Kama kijana nahitak kuwa kwenye mahusiano
 
Kama maji nishakunywa sana...muda mwingne nakubali situation lakini muda mwingne mm Kama kijana nahitak kuwa kwenye mahusiano
Inawezekana wewe mwenyewe ukawa ndo tatizo
 
Vip unamiliki hata gari au pikipiki ?

Madem mbona wapo kibaoo ,kama upo DSM tafuta uswaz ,ukishawapa chips kuku tayari
 
Vip unamiliki hata gari au pikipiki ?

Madem mbona wapo kibaoo ,kama upo DSM tafuta uswaz ,ukishawapa chips kuku tayari
Pikipiki na gar natumia Sana ...but na mwaka Sasa niliokataa tamaa ya kumuapproach msichana yoyote
 
Back
Top Bottom