Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Wamelegea kama wanaumwa mdondokwenye hizo picha mpo kama mashoga. Excuse my language
hao madogo mchele mchele sanaWamelegea kama wanaumwa mdondo
ngoja waje wakanusheHata mm nlikuwa nafikiria hivo hivo DiasporaUSA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima wakimbie sijui ni yupi kati ya hao ila ww ni
mvulana,
Bishoo,
Nywele ina dawa,
Mmelegea ona vimikono,
Camera 360 filter juu,
Mengine wataongezea wakija
Mmoja wapo kwenye hiyo picha ni wewe?
Kama ni kweli, sio kweli warembo wanayumba, bali wewe ndio unayumba.
Jaribu Ku man up, kuwa nadhifu pia. Piga picha kistaarabu za kiheshima, left hayo magroup 100 bakiza mawili ya muhimu.
Acha kujiita "team wasafi", Fanya kazi.
To man up(Ku man up=kuman up)
Mmoja wapo kwenye hiyo picha ni wewe?
Kama ni kweli, sio kweli warembo wanayumba, bali wewe ndio unayumba.
Jaribu Ku man up, kuwa nadhifu pia. Piga picha kistaarabu za kiheshima, left hayo magroup 100 bakiza mawili ya muhimu.
Acha kujiita "team wasafi", Fanya kazi.
Daaah watoto wakike wanapata tabu sanaa.
Hawa watoto sio ridhiki kabisa daah....hv huyu jamaa anasimamisha kweli
Wanameona ni dada mwenziwe