Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mimi mkuu?Hahaha.. Hv mkuu hz picha zinazoendana na mada huwa unazitoa wap..
Hiyo ni picha yangu mkuu!Kama ndo hv hata wale wenye makalio kupewa kipaumbele si utawakimbiza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili la MVULANA umetafakari lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima wakimbie sijui ni yupi kati ya hao ila ww ni
mvulana,
Bishoo,
Nywele ina dawa,
Mmelegea ona vimikono,
Camera 360 filter juu,
Mengine wataongezea wakija
Hao kwenye picha ndio wanawake waliokukataa?
Nimo Insta..
WhatsApp nagrup km 100 af zote nipo active..
Ni team wasafi kufa kuozaaa..
Sasa sijui warembo wanayumba wap tu..View attachment 1274721
Nitafakari juu ya uvulana wake au nnHili la MVULANA umetafakari lakini?
OkyHiyo ni picha yangu mkuu!
[emoji23] wamegeuka nyauNa kuramba ramba midomo khaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimo Insta..
WhatsApp nagrup km 100 af zote nipo active..
Ni team wasafi kufa kuozaaa..
Sasa sijui warembo wanayumba wap tu..View attachment 1274721
![]()
Nimesitisha shughuli zote za kutongoza kwa kipindi cha miezi6 ya mwanzo kupisha mikosi inayoniandama..
Habari wakuu.. Nimekuwa na msimu mbovu kuwai tokea kwny carrer yangu hii ya kutongoza. Sielewi nini chanzo.. Mwanzoni mwa msimu huu ulioanza mwezi July, nilikuwa na jumla ya wapenzi5. Wote walikuwa Active. Tulichati na kupigiana simu kila wakati. Kwa hakika Mambo yalikuwa ni Moto, yani Mambo...www.jamiiforums.com
[emoji51] [emoji51] [emoji51]Hao kwenye picha ndio wanawake waliokukataa?
Ndio. Maana mvulana huwa ni wa kiumeNitafakari juu ya uvulana wake au nn
Ila kua wakiume hakumaanishi ww ni mwanaumeNdio. Maana mvulana huwa ni wa kiume
Haswaa, ndio pointi yangu. Nimetazama picha weeeeee, mmmh...HAIKUJI!Ila kua wakiume hakumaanishi ww ni mwanaume
Hahaha waache tugombaanie wame pamojaHaswaa, ndio pointi yangu. Nimetazama picha weeeeee, mmmh...HAIKUJI!
Ulivyo mlaini picha yako inafaa kwa kupigia nyetoMkuu mie n mwanaume.. Niko vzuri kila idara..
Ndioooooooooooooooo!!!Mi naona Kuna warembo tu hapo
Au nyie mnasemaje