Kila ninayemvuta kwangu ananikimbia, mkwamo unaanzia wapi wadau?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima wakimbie sijui ni yupi kati ya hao ila ww ni
mvulana,
Bishoo,
Nywele ina dawa,
Mmelegea ona vimikono,
Camera 360 filter juu,
Mengine wataongezea wakija
Hili la MVULANA umetafakari lakini?
 
Nimo Insta..

WhatsApp nagrup km 100 af zote nipo active..

Ni team wasafi kufa kuozaaa..

Sasa sijui warembo wanayumba wap tu..View attachment 1274721
 
Hahaha mchawi uliyejibanza chini ya mwamvuli wa uganga.. Usiichukulie sreouz sanaa Jf
 
Wako mabinti wenzako wasiojielewa na wanapenda mikato kama yako.Pia umri unaendana na mwenekano wako wa kidada na akili yako.Jitahidi kuimaliza hiyo stage ya kidada mapema kabla umri haujakutupa mkono.

Komaa na fesibuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…