Kila nitafunapo chakula napata hisia za mchanga mdomoni

Kila nitafunapo chakula napata hisia za mchanga mdomoni

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Wakuu naomba mnisaidie,

Kila ninapotafuna chakula haitegemei aina gani ya chakula huwa napata hisia za mchanga kwenye chakula yaani kama kuna mchanga kwenye chakula.

Hili ni tatizo gani?
 
Back
Top Bottom