malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wateja nao wananunua kiukabilaUsijali mshindani anafanya Nini wewe dili na biashara yako....
Na kama unaboresha au kuingiza bidhaa mpya ufanye hivyo kwa kuendana na soko la hapo ulipo kwa maana wateja usifanye mashindano au kufuata jirani kafanya Nini.
Ipambanue biashara yako weka juhudi, uvumilivu utayashinda yote.... Biashara zote ni pasua kichwa vumilia tu!
Hiyo mbona kawaida sana....Wa
Wateja nao wananunua kiukabila
Nimetengeneza bidhaa Bora kwanamna navojua kwenye kiwanda wamehangaika kwa miaka2 Hadi wakakipata kiwanda nao wakaenda omba special oder kama yanguHiyo mbona kawaida sana....
Tengeneza kilicho bora na hakikisha una kila aina ya bidhaa kwa upande huo wa vinywaji watakuja tu.
Bongo kuigana ninkawaida sanaa angalia hizo energy drinks.....kila mtu ameiga kwa alieanzaaaNimetengeneza bidhaa Bora kwanamna navojua kwenye kiwanda wamehangaika kwa miaka2 Hadi wakakipata kiwanda nao wakaenda omba special oder kama yangu
Yaani kuna binadamu ni mabingwa wa kuiga kwa weli.Fanya mpango kama unauza bidhaa then agizia stock mbali sana na hakikisha inakuwa nzuri kisha uza kwa bei ya chini hadi aombe poo.
Ukitaka kujua unafanya vizuri eneo la biashara ni pale utapoona wanaokuzunguka wanakuiga au wanaanza kuja kuwanga ofisini kwako jua hapo unapatia kisawa sawa usiondoke ongeza balaa hadi wakimbie wao.
Yaani ni wa pumbavu sana.Wapo wanaoiga na hawaridhiki wanakuja kuuliza unanunua wapi, wanakushawishi uuze bei sawa na wao ili mugawane wateja wako.
Imetokea hii juzi tu.