Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu hiloMapezi yapo kwa samaki mkuu
Haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu hilo
Anayo labda ndiyo alimaanisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au uongo samaki hana mapezi?
ntafikia wapi mbona maisha hayo ndo nnayo yaotakama kweli umekata tamaa njoo tujumuike porini tulime tuishi kama darasa la saba , kama ninavyo ishi yaani hata stori tunazopiga huku porini no stori za kipori pori , tupo na watu ambao hata darasa la pili hwakumaliza, tunalima tuna winda maisha yanaenda kwetu, kwetu huku porini huwa hakuna mtu anayepajua dar wala majiji mengine mazuri tunaishi!!!