kila sehemu hakuna msaada

kila sehemu hakuna msaada

kama kweli umekata tamaa njoo tujumuike porini tulime tuishi kama darasa la saba , kama ninavyo ishi yaani hata stori tunazopiga huku porini no stori za kipori pori , tupo na watu ambao hata darasa la pili hwakumaliza, tunalima tuna winda maisha yanaenda kwetu, kwetu huku porini huwa hakuna mtu anayepajua dar wala majiji mengine mazuri tunaishi!!!
 
hampo serious

ntafikia wapi mbona maisha hayo ndo nnayo yaota
 
Back
Top Bottom